Karibu kwenye Hojaji ya mtumiaji wa Habari za UNAsante kwa kukubali kushiriki ili tuweze kuboresha vipindi vyetu viweze kukidhi mahitaji yako.
Tafadhali fahamu kwamba majibu hayatosema yametumwa na nani na haitokuchukua zaidi ya dakika 4 kumaliza.

Question Title

* 1. Je, ni kwa mamlaka yapi unapendelea / unatumia bidhaa za Habari za UN ? Je, wewe ni sehemu ya ...
(Chagua jibu moja tu tafadhali)

Question Title

* 2. Sababu zipi zinakufanya uone Habari za UN zina manufaa kwako? (Tafadhali chagua idadi yoyote kadri unaona zinakufaa)

Question Title

* 3. Je! Unaweza kuvieleza vipi vipengele vifuatavyo vya habari za Umoja wa Mataifa? 

  Nzuri sana  Ni nzuri Wastani  Hairidhishi Mbaya sana  Sijui
Isiyopitwa na wakati
Uwazi
Usahihi
Zisizo na upendeleo
Ubunigu/ zenye mpangilio
Taarifa asilia / na mpya

Question Title

* 4. Taarifa zipi na muundo upi wa habari zetu unaokuvutia zaidi? 

  Napendelea
zaidi 
Napendelea Sina uhakika Sipendelei Sipendelei
kabisa
Sijui hiki ni
nini
Taarifa za papo kwa papo za masuala ya kimataifa
Mahojiano na maafisa wa UN,wataalam , wachechemzi na wengineo …
Mahojiani ya kina na watu na makala za kina kuhusu masuala makubwa
Mshikamano, suluhu na zhabari zinazozingatia sayansi (hususan wakati wa utoaji tarifa za COVID-19)
Habari kuhusu kazi za UN mashinani( mfano, kufikisha misaada ya kibinadamu)
Habari ambazo zinahusisha vijana na mitazamo yao
Taarifa zinazoelezea mabadiliko ya tabianchi na hatua zinazopaswa kuchukuliwa

Question Title

* 5. Ni mfumo upi wa taarifa zetu unaupendelea zaidi?

  Napendelea
zaidi 
Napendelea kiasi Sipendelei Sipendelei
kabisa
Sina uhakika
hiki ni nini
Video fupi zinazowasilisha masuala muhimu kwa njia tofauti na rahisi
Taarifa kwa picha
Taarifa kwa sauti (Jarida la Habari za kila siku na makala ndefu)
Orodha ya vitu muhimu vinavyochambua mambo (mfano., Mambo 5 tunayoweza kufanya kukomesha ongezeko la joto)
Taarifa za maandishi zikiorodhesha vitu
Matumizi ya michoro na ramani

Question Title

* 6. Ipi kati ya huduma hizi za  UN News zina manufaa kwako?

  Inafaa
sana
Inafaa Sina uhakika Haifai Haifai
kabisa
Sijui hii ni
nini
Apu ya bure ya UN News kupitia simu janja
Mfumo arifu wa taarifa wa papo kwa papo kupitia barua pepe/ kila siku au kila wiki
Barua pepe za mada maalum zinaweza kukufaa(na ukajisajili)
Uwezo wa kupakua sauti kutoka wavuti wa UN News
Uwezo wa kusikiliza sauti za UN News kwa njia ya podikasti kupitia Apple/Android/Soundcloud
Kupitia RSS Feeds za UN News
6. Mitandao ya kijamii ya UN News (Facebook na Twitter)

Question Title

* 7. Tunathamini maoni yako na kutokana na mapendekezo yako katika hojaji yetu ya 2019 tumefanya mabadiliko . Kwa kiwango gani unakubaliana na kauli hizi:

  Nakubali
kwa dhati
Nakubali Sina
msimamo
Wowote
Nakataa Nakataa
kwa
dhati
Sina
uhakika
UN News kwa sasa ina vipindi vingi kutoka mashinani na maelezo ya mashuhuda wa mashinani ili kuleta uwiano wa Habari zitokazo mashinani na makao makuu
Upatikanaji wa vipindi vya sauti kwenye Spotify, Apple Podcasts, Google Play na SoundCloud vimenirahisishia upataji wa vipindi hivyo
Muundo wa vipindi umebadilika, taarifa ni fupi, rahisi kueleweka, lugha nyepesi na zinajumuisha picha na taarifa na kufanya Habari na vipindi vyetu kuweza kuvifuatilia kwa urahisi na picha zinavutia.
Imekuwa raihisi kutafuta Habari kwenye wavuti wa UN News (kwa kuwa na Tagi za Habari na orodha ya vipindi) na kwa kutumia nyenzo maalum ya kutafuta.

Question Title

* 8. Ni njia zipi nyingine unatumia kupata habari za kimataifa na zile zinazohusiana zaidi na UN?
(Tafadhali chagua zote zinazofaa)

Question Title

* 9. Tafadhali taja jinsia yako: 

Question Title

* 10. Tafadhali taja uko kati ya umri upi:

Question Title

* 11. Je kuna chochote kingine ungependa tufahamu? 

Wazo lolote la jinsi sisi kuweza kukidhi mahitaji yako zaidi
Asante kwa kutumia muda wako kutusaidia kuelewa mahitaji yako!
Njia 4 za kuendelea kuhabarika:
Jisajili kwenye kijarida chetu
Tufuatilie kwenye Twitter na kwenye Youtube
Pakua apu ya UN News
Jisajili kwenye ukurasa wetu wa SoundCloud na Apple Podcasts

Bonyeza kitufye cha TAYARI ili kuwasilisha majibu yako 

T