Grand Rapids Public Schools (GRPS) inathamini mawazo yako tunapounda mpango wetu wa mikakati. Asante kwa kutumia muda ili kukamilisha maswali ya udadisi ya hapo chini.

Question Title

* 1. Baadhi ya wanajamii waliwahi kuzitambua zifuatazo kuwa ni nguvu za wilaya yetu ya shule. Tafadhali kadiria daraja yako ya kukubaliana kuwa nyanja hizi ni nguvu za GRPS.

  Sikubaliani Sana Sikubaliani Ninakubaliana Ninakubaliana Sana Sijui
Viwango bora vya kuhitimu
Mseto wa machaguo na kozi za masomo
Mipango ya baada ya shule
Riadha
Waajiriwa shughulishi na saidizi
Mahusiano chanya baina ya wanafunzi na walimu
Ushirikiano wa jamii
Shule jumuishi
Shule za mtaa
Mseto
Kutayarisha wanafunzi kwa chuo na ajira

Question Title

* 2. Ikiwa kuna mali au nguvu zingine marudufu ambazo ungependa  kuziongeza, tafadhali ziingize hapo chini.

T