Screen Reader Mode Icon
  • English
  • Español
  • Kiswahili
  • العربية
  • नेपाली

Mpendwa Mkazi wa Jiji la Lancaster

Jiji la Lancaster, kwa kushirikiana na mashirika mahalia na wakazi, linafanya utafiti wa Healthy Lives Healthy Lancaster ili kuelewa vyema mahitaji na wasiwasi wa jumuiya yetu na kuhakikisha kuwa Lancaster linakuwa jiji salama kwa wote.

Sauti yako ni muhimu na tunataka kusikia kutoka kwako. Tafadhali tenga dakika chache kutoa maoni yako kupitia utafiti huu. Utafiti huo upo wazi kwa wakazi wote wa Jiji la Lancaster wenye umri wa miaka 18 au zaidi. Himiza familia yako, marafiki, majirani, na wengine kushirikisha sauti zao!

Mbia wetu wa utafiti, Build Community, atasimamia utafiti huu ili kuhakikisha majibu yote ni ya siri. Matokeo yatashirikishwa katika ripoti ya mwisho ya umma majira ya Pukutiko (Fall) mwaka 2024. Ukiwa na maswali kuhusu utafiti, tafadhali wasiliana na healthlancaster@cityoflancasterpa.gov

T